Mchezaji wa Timu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Singida, Donald Kaene (kushoto) akimtoka Bill David mchezaji wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tabroad) katika bonaza la michezo ya watumishi wa umma mkoani Singida.

Timu ya Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, wakionesha umahiri wa kufanya mazoezi ya kuruka. 
Wafanyakazi wa Tanroad wakishindana kuvuta kamba na wafanyakazi kutoka Halmashaurj ya Wilaya ya Manyoni.
Wafanyakazi wa Tanroad wakishindana kuvuta kamba na wafanyakazi kutoka Halmashaurj ya Wilaya ya Manyoni.
Wafanyakazi wa Halmashauri ya Manyoni wakishindana kuvuta kamba na wafanyakazi kutoka Wilaya ya Manyoni.

Bonanza likiendelea.
Wafanyakazi wa kike kutoka Manyoni wakivuta kamba dhidi ya wafanyakazi wa Tanroad.
Wafanyakazi wa Tanroad wa kike wakivuta kamba dhidi ya wafanyakazi wa kike wa Manyoni.
Timu ya Tanesco ikiwa viwanja vya Singidani Beach lilipofanyika bonanza hilo.
Mchezaji wa Hospitali ya Mkoa Singida, Frank Meza (kushoto) akimtoka Issa Ahmed kutoka ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Singida katika bonanza hilo.
Wacheza karate kutoka Singida Shotokaki Karate wakionesha ukakamavu katika bonanza hilo.
Wafanyakazi wa Vodacom wakivuta kamba dhidi ya wafanyakazi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Timu ya ofisi ya mkuu wa mkoa ikivuta kamba.
Wafanyakazi wa Hospitali ya Mkoa wakishangilia.
Wafanyakazi wa Tanesco wakifanya mazoezi kabla ya kuingia mchezoni dhidi ya Tanroad.
Wachezaji wa Netball kati ya Manyoni na Tanroad wakimenyana uwanjani.
Mchezaji wa Tanroad Doroth Ogutu akifunga bao.
Wafanyakazi wa Tanesco wakifanya mazoezi.
Timu ya Standard Radio katika picha ya pamoja.
Timu ya Watumishi katika picha ya pamoja.
Timu ya Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ikifanya mazoezi.
Timu ya Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi katika picha ya pamoja
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: