Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, Anifa Simpoliunus, aliyefariki baada ya kuvamiwa na vibaka maeneo karibu na chuo hicho.Ibada ya kuaga mwili imefanyika nyumbani kwa marehemu Mbezi SalaSala,jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa mazishi .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,Lazaro Mambosasa akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, Anifa Simpoliunus, aliyefariki baada ya kuvamiwa na vibaka maeneo karibu na chuo hicho.Ibada ya kuaga mwili imefanyika nyumbani kwa marehemu Mbezi SalaSala,jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa mazishi .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,Lazaro Mambosasa akizungumza wakati wa ibada ya kumuaga mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, Anifa Simpoliunus, aliyefariki baada ya kuvamiwa na vibaka maeneo karibu na chuo hicho.Ibada hiyo imefanyika nyumbani kwa marehemu Mbezi SalaSala,jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa mazishi .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waombolezaji wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani)wakati wa ibada ya kuaga mwili wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, Anifa Simpoliunus, aliyefariki baada ya kuvamiwa na vibaka maeneo karibu na chuo hicho.Ibada hiyo imefanyika nyumbani kwa marehemu Mbezi SalaSala,jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa mazishi .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments: