Mratibu wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania Mkoani Tanga TAWLA Latifa Ayoub kulia akisisitiza jambo wakati wa mdahalo wa wadau wa masuala la ardhi mkoani Tanga leo mjini Tanga kuhusu changamoto zinazowakabili wanawake kwenye kumiliki ardhi kushoto ni Mwanasheria wa TAWLA Mkoani Tanga Mwanaidi Kombo ambapo mdahalo huo uliandaliwa na chama hicho
Mwanasheria wa TAWLA Mkoani Tanga Mwanaidi Kombo akisisitiza jambo kwenye mdahalo huo.
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba Tanga Doris Wilson Mangwe akizungumza katika mdahalo huo.
MWANASHERIA wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza mkoani Tanga katika Sigisbert Akwilini akiwa na wadau wengine wakifuatilia mdahalo huo ambao uliandaliwa na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) mkoani Tanga.
Madiwani wa Kata za Chumbangeni Saida Gadafi CCM) kushoto akiwa na Diwani wa Kata ya Majengo (CUF) Suleimani Mbaruku wakifuatilia mdahalo huo
MWANASHERIA wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza mkoani Tanga Sigisbert Akwilini akichangia kwenye mdahalo huo.
Afisa Mipango wa wilaya ya Muheza mkoani Tanga Rehema Akida akizungumza katika mdahalo huo.
Afisa Mtendaji wa Kata ya Mabokweni Salim Mdoe akizungumza katika mdahalo huo.
Afisa Mtendaji wa Kata ya Masiwani Jijini Tanga Sheria Salame akizungumza katika mdahalo huo
Baadhi ya wadau wa mdahalo huo wakizungumza.
Mwansiti Bashiru kutoka kata ya Mbaramo wilayani Muheza akizungumza katika mdahalo huo.
Diwani wa Kata ya Majengo (CUF) Suleimani Mbaruku.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: