Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Ndg Hamphley Polepole (kulia) akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga Ndg.Mwita Waitara katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Ulongoni A Jijini Dar Es Saalam
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam Bi Cathy Kamba akizungumza wakati wa kumkaribisha Mgeni rasmi Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Ndg Hamphley Polepole kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga Ndg.Mwita Waitara katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Ulongoni A Jijini Dar Es Saalam.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam Bi Cathy Kamba akimkaribisha Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Ndg Hamphley Polepole kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga Ndg.Mwita Waitara katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Ulongoni A Jijini Dar Es Saalam.
Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Ndg Hamphley Polepole (WAPILI TOKA KUSHOTO) akicheza nyimbo pamoja na wanamuziki wa Bendi ya TOT katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Ulongoni A Jijini Dar Es Saalam.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala (Kulia)akizungumza na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam Bi Cathy Kamba atika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Ulongoni A Jijini Dar Es Saalam.
Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Ndg Hamphley Polepole akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga Ndg.Mwita Waitara katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Ulongoni A Jijini Dar Es Saalam.
Wananchi wa Kata ya Ulongoni A Jimbo la Ukonga wakishangilia katika Mkutano wa Kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga Ndg.Mwita Waitara katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kata ya Ulongoni A Jijini Dar Es Saalam. (Picha na Fahadi Siraji wa UVCCM).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: