Wanamichezo kutoka Jeshi la Polisi la Tanzania, wakipita mbele ya mgeni rasmi, ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.
Wanamichezo kutoka Jeshi la Polisi la Rwanda wakipita mbele ya mgeni rasmi, ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.
Kikundi cha Ngoma cha Maringo kikitoa burudani, kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia wananchi, katika ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipuliza filimbi kuashiria ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018
Mashabiki wa timu ya Jeshi la Polisi la Tanzania, wakishangilia goli la kwanza la Tanzania dhidi ya timu ya Jeshi la Polisi la Uganda, mara baada ya ufunguzi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018,(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: