Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye,
akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo
pichani) wakati wa mkutano wa kueleza mipango mbalimbali ya jeshi hilo
ikiwemo uzinduzi wa klabu katika shule za sekondari nchini, zitakazotoa
elimu ya uzimaji moto kwa wanafunzi. Mkutano huo umefanyika katika
Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo), jijini Dar es Salaam leo. Kushoto
ni Afisa Habari Mwandamizi, Casmir Ndambalilo. Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi.
Mmoja wa waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa kuelezea mipango
mbalimbali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ikiwemo uzinduzi wa klabu
katika shule za sekondari, zitakazotoa elimu ya uzimaji moto kwa
wanafunzi, akiuliza swali kwa Kamishna Jenerali wa jeshi hilo, Thobias
Andengenye (hayupo pichani), wakati wa mkutano huo uliofanyika katika
Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo), jijini Dar es Salaam leo. Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa kuelezea mipango mbalimbali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ikiwemo uzinduzi wa klabu katika shule za sekondari nchini, zitakazotoa elimu ya uzimaji moto kwa wanafunzi, wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa jeshi hilo, Thobias Andengenye wakati wa mkutano huo uliofanyika leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo), jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Toa Maoni Yako:
0 comments: