Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia),akikata utepe
kuzindua jingo la wazazi lililojengwa na Kampuni ya GSM Mwananyamala Dar
es Salaam jana kushoto ni Injinia wa Kampuni hiyo, Hersi Said na Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi. Picha na Jumanne Juma
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wa pili (kulia), akipata
maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala. Dk, Daniel
Nkungu, kuhusu jengo la wazazi lililojengwa na Kampuni ya GSM, wakati wa
uzinduzi Mwananyamala Dar es Salaam jana kushoto ni Injinia wa Kampuni
hiyo, Hersi Said. na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi, kulia ni
Meya wa Kinondoni, Benjamin Sitta. Picha na Jumanne Juma.


Toa Maoni Yako:
0 comments: