Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza jana,wakati wa mkutano kabla ya tamasha la Fiesta,kulia ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja.
Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja,akizungumza jijini Mwanza leo wakati wa mkutano wa Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid)(kushoto) na waandishi wa habari,kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta Sebastian Maganga
Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta Sebastian Maganga,akizungumza jijini Mwanza leo,kushoto ni Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun (Wizkid) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja. 
Wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta 2016 jijini Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun (Wizkid) mara baada ya mkutano na waandishi wa habari mapema leo jijini Mwanza.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: