Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali (kushoto)akizundua ujenzi
wa Uwanja wa Klabu hiyo (kulia), Rais wa Klabu hiyo Evans Aveva, katika
hafla ya kuomba dua kwa ajili ya kuombea timu kuelekea msimu mpya dua
iliyofanyika katika Uwanja wa Simba uliopo Bunju B Dar es Salaam
jana.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali, akinadisha jenzi ya
timu hiyo yenye jina la mshambuliaji wa timu hiyo Laudit Mavugo, katika
hafla ya kuomba dua kwa ajili ya kuombea timu kuelekea msimu mpya dua
iliyofanyika katika Uwanja wa Simba uliopo Bunju B Dar es Salaam
jana.

Toa Maoni Yako:
0 comments: