
Ni Kisa cha kusisimua cha familia ya kihindi iliyohamia nchini England, lakini mmoja wao anapata kansa na kufariki, Je nini kitatokea? Basi fuatilia kupitia channel ya ST Bollywood Swahili kuanzia saa 4 usiku .
Chanel ya ST Bollywood swahili inapatikana kwenye ving'amuzi vya startimes Pekee...
Kwa taarifa na ratiba zaidi ya Vipindi tufuate katika ukurasa wetu wa Facebook Startimes Tanzania na katika ukurasa wetu wa Instagram Startimestz.


Toa Maoni Yako:
0 comments: