Meneja Miradi ya Biashara wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Anthony Njau (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza ushirikiano wa biashara kati ya Tigo na Kupatana.com, Wengine kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni inayofanya biashara kwa njia ya mtandao ya Kupatana.com, Philip Ebbersten na Meneja mkazi wa Kupatana.com, Makusaro Tesha.
Mkurugenzi wa Kampuni inayofanya biashara kwa njia ya mtandao ya Kupatana.com, Philip Ebbersten akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza ushirikiano wa biashara kati ya Tigo na Kupatana.com,wengine ni Meneja Miradi ya Biashara wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Anthony Njau na mwisho ni Meneja mkazi wa Kupatana.com, Makusaro Tesha
Meneja mkazi wa Kupatana.com, Makusaro Tesha akifafanua jambo wakati wa mkutano huo mapema leo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa tigo wakisikiliza kwa makini katika mkutano huo na waandishi wa habari mapema leo katika makao makuu ya Tigo Jijini Dar es salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: