Abu Ally, Balozi wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za ufundi
kupitia mtandao wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO” yaani VETA
SOMO, akitoa elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar es Salaam.
Fatuma Abdallah, Balozi wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za
ufundi kupitia mtandao wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO”
yaani VETA SOMO, akitoa elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar es
Salaam.
Mabalozi wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za ufundi kupitia mtandao wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO” yaani VETA SOMO, wakitoa elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar es Salaam.





Toa Maoni Yako:
0 comments: