Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin wakwanza kushoto.(Katikati ni mkalimani).
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna
Mufaddal Saifuddin akimuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin mara baada ya kuchangia madawati kwa kutoa
hundi yenye thamni ya dola za Kimarekani (USD 53,000) kwa ajili ya
utengenezwaji wa madawati.

utengeezwaji wa madawati. Wengine katika picha ni Mufti Mkuu wa Tanzania
Sheikh Aboubakar Zubeir watatu kutoka kushoto na Sheikh mkuu wa mkoa wa
Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum wa kwanza kushoto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora
Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin wengine katika picha ni
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir pamoja na Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani
Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin wengine katika picha ni Mufti
Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir, Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga pamoja na
viongozi wengine wa BAKWATA na wa madhehebu ya Bohora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani
Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin wengine katika picha ni Mufti
Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir pamoja na viongozi wengine wa
Madhehebu ya Bohora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akijadiliana jambo na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani
Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin kabla ya kuondoka Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ikulu
jijini Dar es Salaam mara baada ya kuagana na mgeni wake Kiongozi Mkuu
wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ujumbe uliotoka kwa Rais wa
Saharawi na kuwasilishwa kwake na Mjumbe Maalum Bachir Moustapha Ikulu
jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

Toa Maoni Yako:
0 comments: