Kikundi cha Mirambo kikionyesha cheche zake.
Sehemu ya watu walioshuhudia mchuano wa Tigo Dance la Fiesta
Kikundi cha Team Maximum japo hawakushinda ila walionyesha umahiri mkubwa.
Vikundi vya Scorpion na warriors vikichuana vikali uso kwa uso kuonyesha nani zaidi kati yao kwenye mashindano ya Tigo Dance la Fiesta.
Kikundi cha Turn Kardi kilitoa vionjo vya michael jackson
Kikundi cha warriors kikichuana vikali kutafuta ushindi wa shindano la Tigo Dance la Fiesta
Meneja wa masoko Tigo kanda ya ziwa, Alli Mashauri akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa shindano la tigo dance la fiesta, kikundi cha scorpion waliojishindia kitita cha shilingi milioni moja leo jijini Mwanza.


Toa Maoni Yako:
0 comments: