Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa Njombe wakifuatilia kwa makini huku wakinyeshewa na mvua.
Viongozi wa Chama cha ACT –Wazalendo wakiangalia mazao ya wakulima wa Kijiji cha Mkongotema wilayani Songea vijijini jimbo la Peramiho jana aliposimamishwa kijijini hapo ili afungue tawi la chama hicho jana.


Toa Maoni Yako:
0 comments: