Magari mawili ya kubebea wagonjwa(Ambulance) yaliyotolewa na Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe yakiwasili katika viwanja vya soko la Kuni kwa ajili ya kukabidhiwa kwa viongozi wa hosptali ya wilaya ya Hai pamoja na hosptali ya Machame inayosimamiwa na kanisa la
Haya ni maneno yaliyoandikwa katika magari hayo.
Muonekano wa ndani wa magari hayo ya kubebea wagonjwa.
|
| Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria shighuli ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Kuni ,Bomang'ombe wilayani Hai. |
Wananchi wakiwa wamezingira magari hayo wakiyatizama kwa karibu.
|
Mbunge wa jimbo la Hai akiuzungumza juu ya msaada huo kwa watu wa jimbo la Hai.
|
| Mmoja wa viongozi wa Machame Hosptal ,Swai akifurahia msaada wa gari hilo la wagonjwa kwa hosptali yake. |
| Mbunge wa jimbo la Hai, Freeman Mbowe akikabidhi funguo wa gari kwa mganga mkuu wa wilaya ya Hai, Dkt Paul Chawote ,msada uliotolewa kwa ajili ya hosptali ya wilaya ya Hai. |


Toa Maoni Yako:
0 comments: