Baadhi ya wakinamama wa kikundi cha women with vision wakiwa katika picha ya pamoja na mlezi wa kituo cha watoto yatima Msimbazi centre wakati walipotembelea na kutoa  msaada wa baadhi ya mahitaji kwa ajili ya kuwafariji na kuwajali katika msimu huu wa sikukuu za pasaka ambapo walitoa msaada katika vituo viwili vya Msimbaz centre na Mburahati.

Wanakikundi wa women with vision wakiongozwa na mwenyekiti wao Herieth Makombe  wakiwa katika kituo cha msimbaz centre walipofika na kutoa misaada ya baadhi ya mahitaji katika kuwakumbuka watoto yatima katika msimu huu wa sikukuu za pasaka.
Baadhi ya mahitaji ambao walitoa katika kituo cha msimbaz centre katika kuawajali watoto yatima wa vituo vya msimbaz centre na mburahati.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: