Askofu wa wa Dayosisi ya Pwani wa Kanisa la African Inland Church Tanzania, Charles Salalah akiongoza ibada ya Ijumaa Kuu Kitaifa iliyofanyika katika Kanisa la African Inland Church Tanzania Magomeni Mikumi Jijini Dar es Salaam.
Kwaya Neema Guire N.G AIC Chang’ombe ikicheza katika kanisa la Magomeni katika ibaada ya Ijumaa kuu iliyofanyika jana Aprili 3, 2015 jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa dini wa kanisa hilo waliohudhuria Kitafaifa iliyofanyika katika Kanisa la African Inland Church Tanzania Magomeni Mikumi Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Waumini wa Kanisa hilo wakiwa ibaada ya Ijumaa Kuu Kitafa ifailiyofanyika katika Kanisa la African Inland Church Tanzania Magomeni Mikumi Jijini Dar es Salaam


Toa Maoni Yako:
0 comments: