, Mwalimu Haroun Juma akimkaguza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefanya ziara fupi kuangalia maendeleo na changamoto zinazoikabili Skuli hiyoKinyasini Sekondari alipofanya ziara fupi skulini hapo.
 Balozi Seif akibadilishana mawazo na walimu wa Skuli ya  Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
 Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Kinyasini Sekondari Haroun Juma akimuonyesha Balozi Seif Vikalio vilivyotengenezwa kwa zege ndani ya madarasa ya Sekondari ya skuli hiyo.
 Balozi Seif akishangaa mabadiliko makubwa ya majengo ndani ya Skuli ya Sekondari ya Kinyasini ambapo ndipo alipoanzia kupata elimu ya msingi katika miaka ya 46.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. Hongera sana kwa maendeleo hayo. Hapo "big results Now" ya Tanzania inawezekana.

    ReplyDelete