Bondia Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa
uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point.
Bondia Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano
huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point.
Bondia Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa
uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point.
 Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia akiwa amemkalisha bondia Fransic Miyeyusho katika raundi ya kwanza ya mpambano wa raundi kumi na kufanikiwa kwshinda kwa K,O.
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na  Bondia Sukkasem
Kietyongyuth kutoka
Thailand  miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma.

Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na  Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand  miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: