Napenda kumshukuru Mungu kwa kunifikisha siku ya leo Aprili 10, 2014 ikiwa ni siku yangu maalum ambayo niliweza kuletwa duniani (Kuzaliwa). Napenda kuwashukuru wale wote ambao wamekuwa bega kwa bega na mimi katika kufanikisha malengo yangu bila kumsahau Mama yangu Mpendwa Mwalimu Leontina Milego ambaye amekuwa msitari wa mbele kunionya, kunifundisha na kunipa mwongozo pale anapoona ninakwama hakika ashukuriwe siku zote za maisha yako. Vile Mke wangu na Mwanangu, Marafiki, Ndugu na Jamaa. (Siwezi kuwataja kwa majina maana sitamaliza leo ila natambua uwepo wenu wote...)
Home
Unlabelled
LEO NI SIKU YANGU KUZALIWA...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa Mwenyezi Mungu na azidi kukulinda.
ReplyDeleteHongera sana na Mungu aendelee kusimamia kazi za mikono yako
ReplyDelete