Taarifa zilizotufikia dawati letu la habari, mlinzi maarufu (baunsa maarufu nchini), Hassan amefariki dunia.

Hassan alikuwa baunsa ambaye alifanya kazi mbali mbali ikiwemo matamasha makubwa kwa kuwalinda wanamuziki wa ndani na Kigeni ambao walikuwa wakija kwenye matamasha hayo... pia alipewa nafasi ya kuwa kiongozi wa ulinzi kwenye ziara ya Killi "Killi Tour" 2013.

Bado hatujapata kujua chanzo cha kifo chake, ila mazishi yatafanyika siku ya leo... Aprili 10, 2014 jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: