Napenda kumshukuru Mungu kwa kunifikisha siku ya leo Aprili 10, 2014 ikiwa ni siku yangu maalum ambayo niliweza kuletwa duniani (Kuzaliwa). Napenda kuwashukuru wale wote ambao wamekuwa bega kwa bega na mimi katika kufanikisha malengo yangu bila kumsahau Mama yangu Mpendwa Mwalimu Leontina Milego ambaye amekuwa msitari wa mbele kunionya, kunifundisha na kunipa mwongozo pale anapoona ninakwama hakika ashukuriwe siku zote za maisha yako. Vile Mke wangu na Mwanangu, Marafiki, Ndugu na Jamaa. (Siwezi kuwataja kwa majina maana sitamaliza leo ila natambua uwepo wenu wote...)  
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

2 comments:

  1. Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa Mwenyezi Mungu na azidi kukulinda.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana na Mungu aendelee kusimamia kazi za mikono yako

    ReplyDelete