Msururu Mkubwa wa Magari barabara ya Chalinze Mlanzidi Eneo la Ruvu Darajani, Hali hii anatokana na Mvua Zinazozidi Kunyesha hali iliyopelekea Maji kujaa na Kukatiza Juu ya Barabara, kwa usalama magari yote yamesimama kusubiri hali kutengemaa.
Maji yaliojaa pande zote za Barabara ya Morogoro Chalinze eneo la Ruvu darajani muda huu. Maji ni Mengi Mto haujulikano unapoanzia na kuishia maji yamejaa pande zote za barabara, Magari yamesimama na hakuna Gari linalovuka daraja la Ruvu kwa sasa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. Kwakweli hapo huwezi kuila umu serikali kinachotakiwa watanzania wote tuombeane ili mungu aweze kuleta neema yake na tusiwe wepesi wakulaumu

    ReplyDelete