Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendela kushoto, akimkabidhi kikombe Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na wa kati wa Benki ya CRDB, Nelia Ndosa wakati wa kutoa tuzo zilizotolewa na ULUGURU kutokan na benki hiyo kuisaidia jamii ya watu wa Mkoa huo hafla hiyo ilifanyika juzi mkoani humo.
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na wa kati wa Benki ya CRDB, Nelia Ndosa kushoto na Mkurugenzi wa benki hiyo Mkoa wa Morogoro Pendo Issey katikati wakiwa wameshikilia kombe walilokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa huo, Joel Bendera hayupo pichani wakati wa utoaji wa tuzo za Heshima za URUGURU kulia ni mfanyakazi wa benki hiyo.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Morogoro wakiwa wameshikilia kombe walilokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa huo wakati wa kupokea zawadi za Heshima zilizotolewa na URUGURU AWARD juzi.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Morogoro wakicheza kwaito wakati wa kupokea zawadi ya Heshima iliyotolewa na URUGURU AWARD juzi.
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na wa kati wa Benki ya CRDB, Nelia Ndosa kushoto na Mkurugenzi wa benki hiyo Mkoa wa Morogoro, Pendo Issey katikati wakisalimiana na mteja wa benki hiyo wakati wa kupokea zawadi ya, URUGURU AWARD kutokana na benki hiyo kusamini kutoa mchango mkubwa kwa wananchi wa Mkoa huo hafla hiyo ilifanyika juzi. Picha Zote na Jumanne Juma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: