Mvua iliyonyesha juzi na jana kwa siku mbili mfululizo sehemu mbali mbali za nchi ya Tanzania, zimeendelea kusababisha maafa ambalo Daraja la Mto Mbezi - Kata ya Kawe, Mtaa wa Ukwamani limeondoka na Maji.

Poleni sana wakazi wa Kata ya Kawe kwa waliondokewa na Nyumba zao kwa Mafuriko.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: