Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Mohamed Khalib Bilali, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick, Kamanda Sukeiman Kova na viongozi wengine wa ulinzi na usalama wamenusurika Kifo punde katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakiwa kwenye Helkopta ya Polisi wakati wakiwa kwenye ukaguzi wa maafa ya mafuriko Jijini Dar es Salaam.
 Kwa sasa viongozi hao wanaendelea na ukaguzi wa kukagua miundo mbinu iliyoharibika  na mvua eneo la Daraja la Rufiji.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: