Mama wa nyumbani Mrs. Ruka Amoha ambae anadai kuwa mumewe amemnyima unyumba kwa miezi kadhaa sasa, ameamua kutoa hasira zake kwa jirani yake Mrs. Yemi Adelani. “Siwezi kukubali Yemi amfaidi mume wangu na wake pia kwa wakati mmoja nakufanya mi nishindwe kumfaidi mume wangu" amesema ruka mama mwenye watoto watatu.

Tukio hili limetokea Lagos, Nigeria na Dr Oriele Agege amekubali kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa pua ya Yemi imeumizwa sana na anahitaji kufanyiwa  plastic surgery to survive.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: