Abeddy Ngosso ni miongoni mwa wanamuziki ambao wamekuwepo kwa muda mrefu, japo kazi yao haitambuliki. Msanii huyu alipatikana kutambulika kwa mara ya kwanza humu nchini, baada ya kutoa kibao kilichojulikana kama "siku ya kufa kwangu". Mbali na kuwa mwanamuziki, yeye pia ni mtayarishaji wa muziki na ndiye anayetupambia makala yetu ya miondoko wiki hii.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: