Mkazi wa kijiji cha Mdabulo wilaya ya Mufindi ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa amembeba mtoto huku akiendesha baiskeli jambo ambalo ni mfano wa kuigwa kwa wanaume ambao wamekuwa wakiendekeza mfumo dume na kuwafanya wanawake ndio pekee wanapaswa kubeba watoto. Picha/FrancisGodwin Blog.
Home
Unlabelled
WANAUME MUFINDI WANAPOWAJIBIKA KUSAIDIA WAKE ZAO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: