Kaimu Kamnada wa Polisi Mkoa wa Mbea, Anaclet Malindisa akizindua rasmi maandamano ya amani ambayo ni sehemu ya tamasha la Kili Jivunie Utanzania yaliyofanyika mwishoni mwawiki Mkoani Mbeya. Kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro waandaaji watamasha hilo, George Kavishe.
Maandamano hayo pia yalikuwa na msafara mkubwa wa pikipiki.
Ilikuwa ni furaha kwa kila aliyeshiriki katika maandamano hayo.
Kiongozi
wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choki (kulia) akiliongoza kiundi hilo
jukwaani katika tamasha la Kili jivunie Utanzania lililofanyika
mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vyua CCM Ilomba mkoani Mbeya.
Mwimbaji
nguli Ramadhani Masanja a.k.a Banza Stone a.k.a Akayesu akitumbuiza
wana Mbeya katika Tamasha la Kili Jivunie Utanzania.
Wanenguaji
wa kundi la muziki wa dansi la Extra Bongo, wakicheza show wakati kundi
hilo lililopotoa burudani kali katika tamasha la Kili jivunie Utanzania
lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Mbeya katika viwanja vya CCM
Ilombo.
Bonanza la soka nalo lilipigwa kwa Makampuni Mbalimbali kushiriki kama TBL, Zantel, Pepsi na timu mbalimbali zamitaani.
Wakazi wa Mji wa Mbeya wakifuatilia burudani zilizokuwa zikiendelea.
Toa Maoni Yako:
0 comments: