Msanii
wa Vichekesho King Majuto akiwa na mchekeshaji nwenzake wakionesha
vituko vyao jukwaani wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru
wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na
kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki,
airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji
ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani mbeya
Mzee King Majuto akiwa katika kundi la watoto
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Fleva Barnaba Boy kutoka kundi la
THT akitumbuiza mamia ya wakazi wa mji wa Mbeya na vitongoji vyake
wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea
lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na kufanyika
katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki, airtel pia
ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji ishirini ili
kutoa mawasiliano bora mkoani mbeya
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Fleva Juma Nature akitumbuiza
mamia ya wakazi wa mji wa Mbeya na vitongoji vyake wakati wa tamasha la
burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya
simu ya Mkononi ya Airtel na kufanyika katika viwanja vya Luandanzove
mjini Mbeya mwishoni mwa wiki. airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi
wa minara 20 katika vijiji ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani
mbeya
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Fleva Roma akitumbuiza mamia ya
wakazi wa mji wa Mbeya na vitongoji vyake wakati wa tamasha la burudani
la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya
Mkononi ya Airtel na kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini
Mbeya mwishoni mwa wiki, airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani Mbeya.
Vijana
wa kundi la B Boys kutoka Kinondoni jijini Dar es Salaam wakitoa
burudani ya aina yake wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru
wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na
kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki,
airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji
ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani mbeya
DJ Mayanga wa Mbeya FM na The Vibes Club ya jijini Mbeya akifanya makamuzi ya kupoteza njia watu.
Hii ni sehemu tu ya umati wa watu waliofurika katika viwanja vyo jana.
B
Boyz waliingia tena kivingine na kutimua watu uwanjani wakidhani kuna
misukule imeingia hapo kwani walitokea chini ya jukwaa kwa mbele.
Toa Maoni Yako:
0 comments: