Mama Prisca Chikawe (85) akimlisha keki mtoto wake Padri Hugh Chikawe (67) kutoka Kanisa Katoliki la Mt. Peter lililopo Florida, Marekani wakati wa sherehe za kumpongeza kutimiza miaka 40 ya upadri zilizofanyiaka mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni mdogo wake Mathias Chikawe ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora) na mkewe Prof. Amandina Lihamba (Picha na Mwandishi Wetu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: