Rais Jakaya Kikwete  akiwapungia wasanii wa kikundi cha ngoma cha Mtapenda  cha Majimoto wilayani Mpanda kwenye uwanja  wa  ndege wa Mpanda kabla ya kuondoka kurejea Dar es Salaam October 18, 2011. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na watatu kulia ni mkuu wa mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: