Washindi wa Serengeti Fiesta Freestyle 2011.

Hapa wakioyesha umahili wa kuonyesha vipaji.

Washindi wakiwa katika picha za pamoja na majaji na mdhamini kutoka Serengeti.

Jaji wa shindano la Seregeti Fiesta Freestyle msanii wa Hip Hop Fid Q akiwa na mtangazaji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar Ruben Ndege ambaye pia ni mc wa shindano hilo wakijaribu kuamsha amsha mashabiki waliohudhuria shindano hilo, ambapo watu kibao wamejitokeza na kumepatikana washiriki wapatao 100 na kutatokea mchujo na kubakia mshindi mmoja ambae atawakilisha mkoa wa Dar es Salaam katika mashindano makubwa yatakayofanyika jijini Dar na kuikutanisha mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Arusha na Zanzibar.


Mashabiki waliohudhuria.
Hapa yoyoooooo zikiedelea.


Mtagazaji wa Clouds Fm, Ruben Ndege akifuatilia kwa makini wakati mshiriki wa shindano la Seregeti Fiesta Freestyle akionyesha maujuzi yake.
Wacha we, kila staili ilikuwepo...


Majaji wa Seregeti Fiesta Freestyle kushoto ni Fid Q katikati ni Zavara wakiweka mambo sawa na Mtangazaji wa Clouds Fm 88.4 Ruben Ndege ambaye ni mc wa Serengeti Fiesta Freestyle 2011 inayofanyika ndani ya Sun Cirro jijini Dar.
Kazi ilikuwapo.

Vijana kutoka mjegoni Clouds FM nao waliwakilisha ndani ya Sun Cirro, jijini Dar.
Jaji Fid Q akiweka mambo sawa.
Hawa walikuwa ni vijana walioamua kuonyesha vipaji vyao, hawakuwa washiriki.
Lusajo mshindi wa Freestyle 2008 na Mteganda na mshindi wa Freestyle 2009 wakionyesha umahili wao wa kuchana ndani ya Serengeti Fiesta Freestyle 2011.
Majaji wa Seregeti Fiesta Freestyle kushoto ni Fid Q katikati ni Zavara wakiweka mambo sawa Serengeti Fiesta Freestyle 2011 inayofanyika ndani ya Sun Cirro jijini Dar.
Raymond kutoka Clouds TV akijaribu kuweka kumbukumbu.
Mtangazaji wa Clouds Fm 88.4 Ruben Ndege ambaye ni mc wa Serengeti Fiesta Freestyle 2011 akijaribu kuongea na majaji katika shidano hilo lililofanyika ndani ya Sun Cirro jijini Dar.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: