Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari nje ya Kituo cha Polisi cha Centre jijini Dar es salaam mchana huu kuhusu sakata la kukamtwa kwa kiongozi wa upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye bado anashikiliwa na jeshi.
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akiingia kituo cha polisi cha Centre jijini Dar es Salaam mchana huu kufuatilia hatma ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mh. Freeman Mbowe.
kwa kweli .... kuna kitu kina tokota... kama si .... basi ni .....
ReplyDelete