Msanii wa muziki wa Hip Hop, Bonta (aliyenyenyua mikono) akiwahimiza wenzake wapige sala kabla hajaigia kwenye steji kushusha vitu.

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Bonta akizindua albamu yake iliyokwenda kwa jina la 'Kila Kitu Nyerere' ndani ya Four Stars Club mjini Morogoro ambapo alisindikizwa na G Nako Lord Eyez, Sha bang, J Thug, Adili Chapakazi, Nick wa Pili , Joh Makini pamoja na Mwanadada Pipi.Msanii wa muziki wa Hip Hop, Joh Makini akiwasha moto pamoja na G Nako.Msanii wa muziki wa Hip Hop, G Nako akiwa pamoja na Lord Eyez.Mashabiki waliohudhuria uzinduzi albamu wa Msanii wa Hip Hop Bonta inayoitwa 'Kila Kitu Nyerere' ndani ya Four Stars Club mjini Morogoro.Msanii wa muziki wa bongo flava, Pipi akiwasha moto ndani ya ndani ya Four Stars Club mjini Morogoro.Msanii wa muziki wa Hip Hop, Lord Eyez akiwa anawachengua mashabiki ambao wamemzunguka.Mashabiki waliohudhuria uzinduzi albamu wa Msanii wa Hip Hop Bonta inayoitwa 'Kila Kitu Nyerere' ndani ya Four Stars Club mjini Morogoro.

Wasanii wa muziki wa Hip Hop, kutoka kulia ni Adili Chapakazi, Bonta, Sha bang, Pipi pamoja na Nick wa Pili ndani ya uzinduzi wa albamu Bonta inayokwenda kwa jina la 'Kila Kitu Nyerere' ndani ya Four Stars Club mjini Morogoro.
Kushow Love ilikuwemo pia, hapo ni Wasanii wa muziki wa Hip Hop Joh Makini na Bonta wakiwa na washikaji zao.
Msanii wa muziki wa Hip Hop, G Nako, Joh Makini pamoja na Sha bang.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: