Mkali wa kuchana aitwaye Allan Elirehema 'Tash' akionyesha umahiri wake mbele ya mashabiki wake.
Mkali wa kuchana aitwaye Allan Elirehema a.k.a ‘Tash’ akionyesha umahiri wake wa mbele ya mashabiki wake ambapo yeye ndiye aliyebeba taji la kuiwakilisha Arachuga. Allan Elirehema a.k.a ‘Tash’ ataungana na Raymond kutoka Mbeya na Chabby Six kutoka Zanzibar katika Serengeti Fiesta Freestyle 2011 akisindikizwa na VJ ambaye ameshika nafasi ya pili.


Toa Maoni Yako:
0 comments: