Jiji la Dar es Salaam kila siku kukicha vijana wanabuni njia za ufanyaji wa biashara, wapo wale ambao wanatembeza biashara zao mikononi, wengine wanatengeneza vibanda vidogo vidogo pembeni mwa barabara na pichani ni bango limegeuzwa kuwa ni duka hali ambayo inafanya jiji kuonekana ni uchafu kila sehemu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: