Vijana wamefanikiwa kuingia hatua ya 16 bora katika katika Serengeti Fiesta Freestyle ndani ya mji karoso bahari. Baada ya majaji kufanya kazi kazi ngumu ya kutoka vijana 42 mpaka kufika 16.Hali kadhaLika akina dada wameosha mwamko sana katika Serengeti Fiesta Freestyle. Huku akifuatiliwa kwa makini na Mratibu wa Serengeti Fiesta Freestyle, Ruben Ndege ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm 88.5 mji kasoro bahari.Mratibu wa Serengeti Fiesta Freestyle, Ruben Ndege ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm 88.5 mji kasoro bahari.

Mratibu wa Serengeti Fiesta Freestyle, Ruben Ndege ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm 88.5 mji kasoro bahari akimtambulisha jaji Jaji Zavara Mponjika wa Kwanza Unite ndani ya Four Stars Club mji kasoro bahari.Kijana machachali Raymond kutoka Clouds Tv akiweka mambo vyema.Majaji wa Serengeti Fiesta Freestyle, kutoka kulia ni Squeezer toka Zizzou Entertainment pamoja na Zavara Mponjika wa Kwanza Unite.Mtangazaji wa Clouds Fm 88.5 kwa mji kasoro bahari Dj Fetty (kulia) na Ruben Ndege wakiwa pamoja pamoja na jaji Squeezer wakijadili jambo.

Umati wa vijana waliohudhuria.

Mtangazaji wa Clouds Fm 88.5 Dj Fetty akitangaza ‘live’ katika Serengeti Fiesta Freestyle ndani ya mji karoso bahari. Huku akiwa amezungukwa na vijana ambao wanafuatilia shindano hilo.

Hakika watu wamejitokeza kwa wingi katika Serengeti Fiesta Freestyle ndani ya mji karoso bahari Clouds Fm 88.5, mpaka sasa vijana wameanza kuchana na wamepatikana 42. Vile vile unaweza kusikiliza ‘live’ Clouds Fm 88.5 mji kasoro bahari bila chenga kupata kinachoendelea kutoka ndani ya mji kasoro bahari.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: