Mshindi wa Serengeti Fiesta Freestyle 2011 kutoka mji kasoro bahari (Morogoro) amepatikana, ameonyesha kipaji cha kufreestyle kwa kiwango cha juu kabisa, anaitwa Rota Flavian Komba ndiye aliyeibuka kinara wa msimu wa dhahabu wa unaoendelea na Serengeti Fiesta Freestyle 2011 ndani ya mji wa Morogoro jioni ya leo. Kufuatia ushindi huo Rotas atakwenda jijini Dar kupambana na vinara wengine kutoka mikoa mingine katika mpango mzima wa kutimiza kilele cha msimu wa dhahabu na Serengeti Fiesta 2011 ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: