Madam Ritha Paulsen leo alikuwa katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam ,akiwa na shughuli maalumu iliyowahusisha waandishi wa habari,. Alipotoka nje ya ukumbi wa Habari Maelezo na kuingia ndani ya gari yake ndipo ilipozuka 'Pata shika na nguo kuchanika', Ni pale Madam Ritha alipotoa bahasha kwa mmoja kati ya waandishi, Kilichofuta hapo ni kama uonavyo pichani. Kundi la waandishi walilivamia gari lake na kugombania chochote kitu. Mwishowe Madam Ritha aliondoka kwa kasi kukwepa adha hiyo ya waandishi.(Picha:Mjengwablog)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: