Mtu mmoja ambaye jina lake hakuweza kufahamika jana amechezea kichapo baada ya kukamatwa kwenye ofisi za Wizara ya Ardhi akiwa na (funguo) master key akifungua mlango kwa lengo la kwenda kuiba computer. Wakizungumza na blog ya habari na matukio mashuhuda wa tukio hilo walisema kuwa walishangaa hiyo jamaa anafungua mlango baada ya kuona watu ndipo akataka kukimbia na kukamatwa alipopewa kichapo na aliposachiwa alikutwa na funguo (master key) akasema kuwa lengo lake lilikuwa ni kwenda kuimba computer.
Kumezuka mchezo wa watu wengi kuwa wanaenda kwenye ofisi za watu na kujifanya wanafanya kazi kumbe lengo lao ni kuiba na kuondoka.


Toa Maoni Yako:
0 comments: