Hatari, hana miwani kwa usalama wa macho, hana kiziba pua na mdomo kuzuia kuvuta hewa mbaya kutoka maplastiki yanayoungua, hana gloves mikononi asiungue na cheche-zile ambazo haziwaki moto kwa urahisi-Balaa. Mfano kuwe na mtungi wa hewa utakaopasuka hapo, unammaliza maramoja. Usalama kazini na protective gear ni issue hapa.
Home
Unlabelled
USALAMA KAZINI UPO???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
thats really a risky job. Protective gear is not always available for many fire services in country like ours too.
ReplyDeleteI salute their job, they really are so valiant people.
http://sightbywalk.blogspot.com/
risk job
ReplyDelete