Balozi wa Rwanda nchini Fatuma Ndangiza (kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari kuhusu maandamano ya maadhimisho ya 17 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yatakayoanzia eneo la Mwenge Jijini Dar es salaam na kumalizikia Mlimani City leo jijini Dar es salaam ( leo 6.4.2011) . Kulia ni Katibu katika Ubalozi wa Rwanda hapa nchini Ernest Bugingo. Maandamano ya maadhimisho hayo yanatarajiwa kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe. (Picha na Vicent Tiganya MAELEZO)
Home
Unlabelled
RWANDA KUKUMBUKA MAUAJI YA KIMBARI 1994.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: