Kwa nyuma ya Gereza ni mnara mrefu ukiwa na madhumuni makuu ya ulinzi wao na watumwa wasivamiwe au kuibwa
Bandari ya Kilwa Masoko
Ikulu au Kasriya mfalme wa Kiarabu
Makaburi ya Sultani wa Kilwa
Mfalme alikuwa anaishi gorofa ya juu, hizo ngazi alikuwa anatumia kuelekea chumbani kwake
Msikiti Mkuu kwa ndani
Msikiti maalumu aliotumia mfalme kuswali
Sehemu maalumu ya kutawadha kabla ya kuswali ktk Msikiti Mkuu
Safari kuelekea Kilwa Kisiwani kuliko na vivutio vya kale
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: