Pichani ni mgambo wa jiji ambao wao huwa hawana kazi maalum, kama unavyowaona wakiwa wamekata gari ambalo wao walisema limepakiwa vibaya wakati nyuma yao kuna gari lenye namba za serikali. Hali hii ya uonevu kwa raia itassha lini??? Na pia inabidi tujue majuku yao kama wanaruhusiwa kukamata magari yanayokuwa yamepaki barabarani na ni kwa nini wanaogopa kukamata magari ya serikali???.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: