Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. Inasikitisha sana, lakini inaonyesha hali halisi ilivyo katika nchi
    yetu kwa sasa, utawala wa kufuata sheria sasa umewekwa pembeni, watu
    wamekuwa na kiburi na jeuri ya madaraka na pesa, wao wanafikiri
    wanaweza kufanya chochote na wananchi hawatafanya kitu, hili
    lililotokea Tegeta ni fundisho kwa wizara iliyojaa ubabaishaji na
    rushwa ya Ardhi, kuna mambo mengi yanakuja, hasa pale wananchi
    wanapotegemea waziri husika atakuwa na maamuzi ya busara ya haraka
    lakini anakuwa mbabaishaji, kweli ndani ya CCM hakuna msafi yaani hata
    mama Tibaijuka na yeye anaelekea kushindwa!?, Kaja kwetu huku
    Kigamboni kafanya mkutano na wanchi, anaeleza mambo ya kuwafurahisha
    wananchi eti anawaomba viongozi wakazungumze na wanachi ili
    wakubaliane jinsi ya kulipa fidia kupisha mradi unaosemekana kuja,
    lakini anatoka hapo anakwenda halmashauri ya wilaya anatia sign
    kuidhinisha malipo yaendelee kwa wananchi!, sasa wewe umeagiza watu
    wakaelewane kwanza! huku unawapa rungu halmashauri waendelee na zoezi
    maana yake nini! sio kuleta uvunjifu wa amani kweli! wananchi
    wanapinga fidia inayotolewa haiendani na thamani ya ardhi kwa sasa,
    tena na utaratibu unaotumika ni wakitapeli tu, sasa huyu waziri wa
    ardhi kweli anania ya kutatua kero za wananchi?

    ReplyDelete