Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo nchini (WAMA) mama Salma Kikwete akipokewa na viongozi mkoa wa Lindi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mkoani Lindi leo. Mama Salma Kikwete yuko mkoani humo kushiriki na kuhimiza shughuli za maendeleo ya wananchi.

Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: