Hiace lenye namba za usajili T 908 BCM linalofanya safari zake Mikese kuja mjini Morogoro likiwa limeharibiwa vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na roli aina ya Scania lenye namba za usajili T 251 BBG lililokuwa likivuta tela lenye namba za usajili T 812 BBP katika jijiji cha Mkambarani nje kidogo ya mji wa Morogoro leo alfajiri. Kwa Habari kamili gonga hapa
Home
Unlabelled
INASIKITISHA SANA! HIVI NDIVYO AJALI YA LEO ILIVYOTOKEA MOROGORO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kufa nje nje, uzembe
ReplyDelete